Wanajf naomba kufahamu kodi zipi zinaihusu private co. Ltd kwa hapa bongo kule tra ukiacha ya monthly vat return hiyo nshaidaka kidogo.
Naomba kueleimishwa zingine zilizopo na source yake ni ipi kwa kuchukukulia mfano source ya monthly vat return ni tofauti ya mauzo na manunuzi ambayo hulipwa kila mwezi.
Nawasilisha