las Casas JF-Expert Member Joined Nov 22, 2015 Posts 575 Reaction score 720 Jul 2, 2019 #21 Bukoba nimekaa miaka saba toka 2011, kwa viwanja vikali vya starehe Bukoba bado sana, nilikuwa naenda mwanza mara moja moja weekend. Bukoba kumepoa sana. Niko Arusha now I'm hustling and enjoying my time.
Bukoba nimekaa miaka saba toka 2011, kwa viwanja vikali vya starehe Bukoba bado sana, nilikuwa naenda mwanza mara moja moja weekend. Bukoba kumepoa sana. Niko Arusha now I'm hustling and enjoying my time.