Kwa wenyeji wa machimbo ya nguo kali kariakoo

Ulitaka kwa sh ngapi mkuu
Nikakuwingie😅
 
Kwa wenyeji wa machimbo ya nguo kariakoo msaada tujuzane wapi ntapata suruali hizi kwa bei nafuu maana huku ni 38 tunaambiwa
Mcheki huyu jamaa anaitwa Obama - 0746 901 180 anauza hizo na mashati mazuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…