kwa wenyeji wa Mwanza ni vyuo vipi vya ualimu ?, naomba kujuzwa.

gashambala uwezo

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2014
Posts
485
Reaction score
67
wana Jf ,

naomba kujua vyuo vya ualimu vilivyopo mwanza,
vile vya binafsi pamoja na vya serikali.

Asanteni.
 
Mukidoma kipo kisesa,Ng'anza T.C pamoja na Montesori kwa diploma Butimba n.k
 
1. Butimba TTC, Kata ya Butima, Wilaya ya Nyamagana, Mkoa wa Mwanza
2. Murutunguru TTC, Murutunguru, Nansio, Wilaya ya Ukerewe, Mkoa wa Mwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…