Mimi mstaarabu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 262
- 577
Watu wanasema kuna baadhi ya kozi kupata kazi ni mziki mnene mfano: Human resource, BBA, public adm na nyingine za social studies na arts.
Kwahiyo wengi tukimaliza chuo huwa tunakaa tu nyumbani.
sasa tuleninmaujuzi tufanye nn au tujiakiri vipi? Baada ya kumaliza chuo?
Majukumu ya huyo mtu?Mkuu nahitaji mtu wa kufanya naye biashara/Business partner nna kampuni mpya kwahyo ikiwa utakuwa interested nitafute ili tuongee na tujue tuna fanya vipi na hapa mtaji si issue kubwa muhimu ni business strategies zitakazo tuinua na uwe committed kwelikweli ili tuweze kufikia malengo.
Nitumie number yako pm ntapigia.
Tutashirikiana kwa pamoja katika kuandaa mkakati wa masoko,kukuza brand ya kampuni yetu na mapato na mengine tutakayo yaona yana faa ili tuweze kufikia malengo husika ndani ya miezi 12 au zaidi kulingana na matokeo tutakayo pata hapa mwanzoni yatatoa MwangaMajukumu ya huyo mtu?
Acha kujifanya mjuaji. Jamaa kaamua kuja kuomba ushauri hasa kwa nyie mlioajiriwa halafu mnawalalamikia Vijana hawataki kujishughulisha wala kujiajiri,badala ya kumpa sasa huo ushauri wa kujiari unaanza kuongea pumba.Muda nzuri wa kuanzisha uzi saa 4-6 hasubui, Timing ya kuanzisha uzi unafeli je utaweza jiajiri?
Na nawaombea mkose kaz kabisa kuna jamaa mmoja alikua anasoma chuo UDOM alikua akirud kijijin anatukulia sana mademu zetu yan tulikua tunaonekana takataka ubishoo mwingi muda mwingine ukimsalia haitikii lakn mpaka sasa hivi ni boda boda mnadharau sana
Hahaha dah. Alafu mida iyo ukianzisha uzi cjui inakuaje watu wengi tunakuwa onlineMuda nzuri wa kuanzisha uzi saa 4-6 hasubui, Timing ya kuanzisha uzi unafeli je utaweza jiajiri?
Inawezekana but very difficult,mine nimeishakuwa muhenga,kuna watu niliwakuta kwenye ajira Tena na mishahara minono,lakini hakuna hata mmoja aliyeweza kujiajiri ni mpaka walipozichanga za kutosha,after 15yrs,wengine ndio wakaweza kuanzisha makampuni yao na kuajiri vijana kibao,iliwachukua si chini miaka 10,kuweza kujiajiri,sio kujiajiri kwa kufuga kuku na kitimoto,kufungua kampuni zinazo ajiri vijana 60 mpaka 200,.Watu wanasema kuna baadhi ya kozi kupata kazi ni mziki mnene mfano: Human resource, BBA, public adm na nyingine za social studies na arts.
Kwahiyo wengi tukimaliza chuo huwa tunakaa tu nyumbani.
sasa tuleninmaujuzi tufanye nn au tujiakiri vipi? Baada ya kumaliza chuo?
Hata kama hana ata Shin 10Tutashirikiana kwa pamoja katika kuandaa mkakati wa masoko,kukuza brand ya kampuni yetu na mapato na mengine tutakayo yaona yana faa ili tuweze kufikia malengo husika ndani ya miezi 12 au zaidi kulingana na matokeo tutakayo pata hapa mwanzoni yatatoa Mwanga
Ndiyo mkuu iko hivyo mambo ya mtaji si shida kikubwa tufanye kazi na tushauriane aina gani ya watu tuanze nao kuwa ajiri nasisi tufanye vipi kazi ili kufikia malengo ya kampuni na malengo ya kila mmoja wetuHata kama hana ata Shin 10
Nipo tayari naona ni suala la kimikakati zaidi na ideas za kuPush startup ila hata pesa ya nauri sinaNdiyo mkuu iko hivyo mambo ya mtaji si shida kikubwa tufanye kazi na tushauriane aina gani ya watu tuanze nao kuwa ajiri nasisi tufanye vipi kazi ili kufikia malengo ya kampuni na malengo ya kila mmoja wetu
Ukiskia uchawahi ndo huu acha vijana wa enjoy maisha yenyewe mafupi hayaNa nawaombea mkose kaz kabisa kuna jamaa mmoja alikua anasoma chuo UDOM alikua akirud kijijin anatukulia sana mademu zetu yan tulikua tunaonekana takataka ubishoo mwingi muda mwingine ukimsalia haitikii lakn mpaka sasa hivi ni boda boda mnadharau sana
Hahahaha jamaa kasema ana mzigoBiashara ipi hiyo mkuu, au ndio marketing network
Mizigo ya kichina imedorora, inatafutiwa mikakati ya kuuzwa kilazima [emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23]Hahahaha jamaa kasema ana mzigo
Hizo ni issue zako personal na kijana wa UDOM . Hzihusiani na madaNa nawaombea mkose kaz kabisa kuna jamaa mmoja alikua anasoma chuo UDOM alikua akirud kijijin anatukulia sana mademu zetu yan tulikua tunaonekana takataka ubishoo mwingi muda mwingine ukimsalia haitikii lakn mpaka sasa hivi ni boda boda mnadharau sana
Usipende kumuombea mwenzio mabayaNa nawaombea mkose kaz kabisa kuna jamaa mmoja alikua anasoma chuo UDOM alikua akirud kijijin anatukulia sana mademu zetu yan tulikua tunaonekana takataka ubishoo mwingi muda mwingine ukimsalia haitikii lakn mpaka sasa hivi ni boda boda mnadharau sana