Kwa Wimbi hili la Ushindi wa Vyama Mrengo wa Kulia Huko Ulaya Magharibi, Waislamu walioko Huko Wajiandae Kufunga Virago

joex

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2011
Posts
2,321
Reaction score
1,906
Kwa bahati mbaya sana Nchi za Magharibi kupitia mfumo wao wa Democracy, umejikuta katika miongo ya karibuni Serikali zao zikiangukia mikononi mwa Wasoshalisti/Wakomunisti. Huko Spain,UK, US, Netherlands, Germany Denmark, Malta,Greece nk.

Mbaya zaidi wasoshalisti hawa ili waendelee kubaki madarakani kupitia sanduku la kura wakaruhusu Waislamu wengi kuingia nchini mwao na hivyo kupitia fadhili za sera zao wakajipatia mtaji wa kisiasa. Mfano Mzuri ni Chama cha Labour (UK)na Social Democratic Party (Germany).

Sasa Wazungu wenyeji wanataka kurudisha Serikali mikononi mwa Nationalistic Parties, the Likes of Donald Trump (US), Nigel Farage (UK), Marine Le Pen (France) Alice Weidel (Germany) Victor Orban Hungary.
Kwa trend hii Waislamu walioko huko waanze kufungasha virago, maana sheria kali against muslims zitatungwa.
 
Pamoja na Purukushani za Israel, Waislam wameweza kuwa wengi kuliko Wakristo, sembuse Uingereza yenye utawala wa Sheria?
Hata hivyo kama umewahi kuishi ughaibuni, utakuwa unajua kuwa wanaopigwa vita kwenye hayo mataifa sio Waislam wote, bali ni wale wenye msimamomo mkali
 
washia au wasuni?
 
Unakuwa muislam halafu unakimbilie nchi za kikafiri, huo si ni ujuha? Wacha watungiwe sheria maana huwa hawana shukrani kukaribishwa kwenye nchi za watu wanaanza kuleta upuuzi wao ugenini na kukera wenyeji
Huwa mnaropoka tu ,ndani ya Jeshi la Marekani kuna waislam kibao , kila jimbo ndani ya Marekani kuna msikiti mingi tu na watu wanaishi kwa amani sana
 
tatizo vurugu zimezidi sana yani awa jamaa misikiti ipo mingi uko ulaya ila wanaswali mpaka barabarani imekuwa too much kwa wenyeji,wanaona ni bora waondoshwe kabisa marekani wanaanza na msomali.
 
Unakuwa muislam halafu unakimbilia nchi za kikafiri, huo si ni ujuha? Wacha watungiwe sheria maana huwa hawana shukrani kukaribishwa kwenye nchi za watu wanaanza kuleta upuuzi wao ugenini na kukera wenyeji
Piga chuma tu
 
Wanaenda uko kwa Wazungu niwengi sio Waislam tu tatizo vijana wa kilokole kwao wanaona ni fursa kupiga propaganda!!

kuwahusu Waislam tu eti wanakimbilia nchi za Makafiri!!!

Wanasahau Ukweli uliombeleyao usioweza kupingika Kipropaganda

Ukweli ni Wazungu au mnawaita Makafiri ndio walionza kuvamia Mataifa ya Kiafrika Asia American kusini na ya kati !!!

kwenda kupora kuiba kufanya Ujambazi ktk rasilimali za Mataifa yao!!!
kuwachukua watumwa nk.

Kwaiyo Makafiri sio wizi tu wa Rasilimali wamechukua na Watumwa rasilimali watu wenye nguvu kwenye ayo Mataifa!!!

Rasilimali zao nyingi zimeenda kujenga kwa Makafiri ndio mnavyoita kwenye propaganda zenu.

Wacha iwe ivyo!!

Kwaiyo Wananchi wa mataifa yalioibiwa kinyume na Sheria yanayo haki ya kwenda kufaidi rasilimali zao kule zilipo✅️

ndiomana wanaoenda sio Waislam tu!!

wapo wengi Dini tofaut kwanzia Africa wanaenda Ulaya✅️

na kule American ya kati na kusini nao wanatembea kwa miguu kwenda kwenye rasilimali zao USA!!

hawafati Makafiri NO wanafata Rasilimali zao zilizoibiwa✅️ zikapelekwa kule wanayo haki kunufaika nayo.

ndio kweli ya kweli.

Swali JE ULAYA hawajatuibia jibu wametuibia kila kitu =✅️

Swali USA sio wezi ??
jibu
ni Majambazi Wakuu Duniani ✅️

Basi majibu ndio ayo Jamii
zilivoibiwa zinaenda kutumia Rasilimali zao uko kwa Makafiri

Kama wao Makafiri wasingevamia Mataifa yao na kufanya wizi!! + mauaji Utumwa.

jamii izo pia zisingeenda kwao✅️.✍️
 
Usiite watu wa dini nyingine makafiri wewe mpuuzi, huwa mnakera sana na lugha zenu nyie wapuuzi ndio maana watu huwa wanashangilia wahuni wakiwapiga Waarabu hata kwa uonevu
 
Mnaofanya propaganda kuwausu Waislam!!!

Msisaau nanyinyi mikoa yenu ni masikini 😜😜

ndiomana mmekimbilia pwani kwa Waislam !!!

pingeni kwa hoja ??

Mnawachukia Waislam na mpo kwenye mji wao!!!

Mnaawambia wana majini lkn Ajabu
Umesafari kuacha mikoa yenye Cristian wengi na kwenda pwani kwenye majini kwa propaganda zenu. !!!!!!


Ajabu zaidi
MAKANISA yanayowalisha ushuzi Vichwani mwenu kwa garama ya Sadaka yako!! yenyewe yamejikita pwani ya Dar es salaam kwa Waislam¿¿

kwanini wasijikite uko uko kwenye mikoa yenye Cristian wengi wakwepe majini mabomu yakujitoa muhanga¿¿¿

UISLAM na Waislam watabaki kuwa Nuru kwa Binadamu wote Duniani ✍️
 
Usiite watu wa dini nyingine makafiri wewe mpuuzi, huwa mnakera sana na lugha zenu nyie wapuuzi ndio maana watu huwa wanashangilia wahuni wakiwapiga Waarabu hata kwa uonevu
Soma upya msg yangu🤠
 
Unakuwa muislam halafu unakimbilia nchi za kikafiri, huo si ni ujuha? Wacha watungiwe sheria maana huwa hawana shukrani kukaribishwa kwenye nchi za watu wanaanza kuleta upuuzi wao ugenini na kukera wenyeji
Unakuwa Mkristo halafu unaenda kuweka kambi ya jeshi nchi ya kiislam ,unaenda kushambulia nchi ya kiislam ,unategemea upendwe...Lazima nchi yako ubebe wakimbizi.
 
Wakristo wa Tz wakiwa huko bara sio wajanga .. Mpaka waje Dsm ,huyo Gwajima kalelewa na waislamu anawajua vizuri usimuone na shobo zake za kwenda kwenye shughuli.

Amekuja Dar mshamba hata huyo Mwamposa na wengine wote..Hata makao makuu ya makanisani yao sio Mbeya ni Dar.

Wamekuja washamba ila sasa wanajifanya wajanja ,ndio maana wazee walisema NO kweny Urais hatuwezi kuongozwa na washamba tuliowalea.
 
anachokisema pengine hakielewi vizuri Wasoshalisti wote uko Ulaya hawataki Wageni wowote uwe Muislamu uwe Cristian uwe mweusi uwe mweupe. Hawataki Wageni kabisa. Sio Waislam tu..
Chunguza tena taarifa unazopata. Socialists in western Europe are courting islamists' votes ili waendelee kubaki madarakani.
 
Kobazi inawasumbua Afya ya Akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…