kwa woooote mliotendwa

kwa woooote mliotendwa

Jonogomero

Member
Joined
Feb 8, 2012
Posts
99
Reaction score
27
Nawatakia usiku mwema ninyi wooooote mlio wah kutendwa katika mahusiano, laleni tu mkiwaza mambo yenu maana hao walowatenda saiv wanavuta shuka tu wala hawawazi ninyi. Usiku mwema to all JF members😕
 
ha ha ha, sipendi uongo unaokaribiana na ukweli.
 
unajifariji kupitia sie? poleee :hatari::hatari:
 
Pole sana kijana....!
Kwa hali inavyoonekana hata usingizi hautapata lol.
 
mtenda na mtendwa mbona yote ni sawa tu? Labda aliyeachiwa maumivu huyo tofauti......................hata mtenda wakati mwingine huachiwa kilio na manung'uniko.............
 
Back
Top Bottom