Nawatakia usiku mwema ninyi wooooote mlio wah kutendwa katika mahusiano, laleni tu mkiwaza mambo yenu maana hao walowatenda saiv wanavuta shuka tu wala hawawazi ninyi. Usiku mwema to all JF membersš
mtenda na mtendwa mbona yote ni sawa tu? Labda aliyeachiwa maumivu huyo tofauti......................hata mtenda wakati mwingine huachiwa kilio na manung'uniko.............