Kwa Wote mnaoanza kujifunza Programming na Hauna Computer. Replit App itakufaa Ku-edit na Ku-Run baadhi ya Script.

Kwa Wote mnaoanza kujifunza Programming na Hauna Computer. Replit App itakufaa Ku-edit na Ku-Run baadhi ya Script.

Until_The_End

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2020
Posts
1,456
Reaction score
2,202
Habari wakuu:
Niende moja kwa moja kwenye mada;

Kwa kufahamu kuwa kuna watu wanatamani kujifunza Programming language bahati mbaya hawana kompyuta hivyo inapelekea kukata tamaa na kuishia njiani, leo beginner mwenzio nakupa tumaini inuka uendelee.

Inawezekana ulikuwa hufahamu kuwa kuna application inayopatikana Playstore inaitwa Replit unayoweza kuedit na kurun baadhi script kwa language nyingi, inaweza kukusaidia wakati ukiwa unapambana kupata compyuta.

Angalia maelezo hapa:


Binafsi naitumia kujifunza python, ukichukua uwezo wangu jumlisha msaada chatGPT:
1. Imenisaidia kuepuka errors ndogondogo
2. Nimejifunza matplotlip na packages kadhaa
3. n.k

Nenda Playstore downloap app, anza kujifunza.
Nakutakia safari njema!
 
Back
Top Bottom