Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
najua mengi,asante kwa kuongezea uzito,ndio mana nilitaka wanasifia government institutions waniambie ni nchi gani vyuo ama shule za uma ni bora kuliko binafisi,ndo mana hawajajibu kwa kuwa hawana mfano,private ni kitu kingine kabisaHata shule Binafsi miaka ya 80s' na 90s' zilikuwa zinabezwa sana tena sanaaa!!!! Vipi miaka hii...? Zinanyenyekewa na kupewa heshima ya juu....Watu/viongozi wa juu ea Serikali hawalali kusaka pesa kupeleka wanao... Only time will tell...Wait and see.... Harvard ni Private University Boston Collage ni Private Massachusset ni Private George Town ni private Notre Dame University ni Private .......Only time will tell....... Kejeli hizi zitakwisha tuu..
PRIVATE mwisho ni sekondari tena kwa kuibaiba mitihani!Lakini kwa CHUO KIKUU hamna kitu kabisa! wewe chuo gani mwalimu asipotoa A anaulizwa? huoni wapo kibiashara zaidi?najua mengi,asante kwa kuongezea uzito,ndio mana nilitaka wanasifia government institutions waniambie ni nchi gani vyuo ama shule za uma ni bora kuliko binafisi,ndo mana hawajajibu kwa kuwa hawana mfano,(private ni kitu kingine kabisa)
BABA MALECTURE WAKO MAKINI SANA MJOMBA MIMI NI SHAHIDI ILIKUWA NAANDIKA ESSAY KIMAGUMASHI ALISOMA KARIBU WANAFUNZI 350 WOTE.JAMAA WAPO MAKINI SANA ,LABDA AKIAMUA KUWALEGEZEA AU AWAKADILIE WOTE MAANA AAJUA HAPA HAKUNA HATA A,B OR C KUTOKAANA NA MTIHANI ALIOTOA....natoa mtihani ambao utakuwa "easy to mark"yaani nyanja kibaoukweli ni kwamba ili ujue raha ya ngoma ingia ucheze.sie tulio huku tunapatamani lakini kadri siku zinavyoenda sijutii umuhimu wangu kuletwa St.joseph maake watu 400 hall moja si kazi rahisi.Sizani hata kama ma lecturer wanazingatia usahihishaji wa mitihani yao sababu number hiyo ni kubwa mno
kuna chuo kimoja mwalimu akitoa A nyingi anaulizwa kwanini,umewapendelea nini.lakin jamaa yangu mmoja eti lecture anaambiwa kwanii hakuna A"s..ref to BIG RESULT NOW.PRIVATE mwisho ni sekondari tena kwa kuibaiba mitihani!Lakini kwa CHUO KIKUU hamna kitu kabisa! wewe chuo gani mwalimu asipotoa A anaulizwa? huoni wapo kibiashara zaidi?
kuna chuo kimoja mwalimu akitoa A nyingi anaulizwa kwanini,umewapendelea nini.lakin jamaa yangu mmoja eti lecture anaambiwa kwanii hakuna A"s..ref to BIG RESULT NOW.
Ukipika maandazi makubwa yenye upepo ndani ili kuwalaghai wateja wako unategemea kesho watakuja tena kununua kwako?PRIVATE mwisho ni sekondari tena kwa kuibaiba mitihani!Lakini kwa CHUO KIKUU hamna kitu kabisa! wewe chuo gani mwalimu asipotoa A anaulizwa? huoni wapo kibiashara zaidi?
PRIVATE mwisho ni sekondari tena kwa kuibaiba mitihani!Lakini kwa CHUO KIKUU hamna kitu kabisa! wewe chuo gani mwalimu asipotoa A anaulizwa? huoni wapo kibiashara zaidi?