Kwa wote wanaohotaji nyama (beef) yenye ubora kwa kiwango chochote tuwasiliane

Kwa wote wanaohotaji nyama (beef) yenye ubora kwa kiwango chochote tuwasiliane

Sojochris

Member
Joined
Jan 28, 2012
Posts
27
Reaction score
3
Wadau mimi nina supply fresh meet(beef) kutoka kampuni ya ranchi za taifa (NARCO) nyama yenye ubora na usalama kwa walaji kwani inaandaliwa katika mazingira mazuri kuanzia ufugaji hadi uchinjwaji.
Nina categories zifuatazo.
BEAF STEAK 1KG TZS 7,500
BEEF FILLET TZS 8,500
JEMBE (BLADE) TZS 6,500
KICHWA TZS 11,000
UTUMBO TZS 3,000
PET FOOD TZS 1,500
Unaletewe hadi nyumbani kwako au kazini kama utapenda.
Mawasiliano:

0753281111
0714281111
 
Halaal? na kama alivouliza hapo juu kuanzia kilo ngapi?
 
Mkuu Sojochris,

Asante kwa taarifa lakini naomba uongeze details zaidi.

Huduma yako ina cover eneo gani ?.

Biashara yako iko wapi ?.

Je unaweza kusupply mikoa mingapi Tanzania Bara ?.

Una magari yenye fridge ?.

Vipi cost za transport ?.

Thanks mkuu,huduma ina cover mikoa ya Dar es salaam,morogoro,Tanga na Dodoma.Ofisi zetu ziko hapa dar es salaam posta mpya jengo la mavuno (MAVUNO HOUSE),Magari yenye fridge yapo kaka na transport cost ni juu yetu inategemeana na kiasi unachohitaji.Karibu sana mkuu
 
mkuu

t-bone na oxtail bei gani kwa kilo?
 
mkuu

t-bone na oxtail bei gani kwa kilo?
mkuu ox-tail ni Tzs 4,500 lakini hatuna product ya T-bone kwa sasa kuna maboresho kadhaa yanafanyika na itakapokuwa tayari tutawataarifu.
 
Back
Top Bottom