Wadau mimi nina supply fresh meet(beef) kutoka kampuni ya ranchi za taifa (NARCO) nyama yenye ubora na usalama kwa walaji kwani inaandaliwa katika mazingira mazuri kuanzia ufugaji hadi uchinjwaji.
Nina categories zifuatazo.
BEAF STEAK 1KG TZS 7,500
BEEF FILLET TZS 8,500
JEMBE (BLADE) TZS 6,500
KICHWA TZS 11,000
UTUMBO TZS 3,000
PET FOOD TZS 1,500
Unaletewe hadi nyumbani kwako au kazini kama utapenda.
Mawasiliano:
0753281111
0714281111
Mkuu Sojochris,
Asante kwa taarifa lakini naomba uongeze details zaidi.
Huduma yako ina cover eneo gani ?.
Biashara yako iko wapi ?.
Je unaweza kusupply mikoa mingapi Tanzania Bara ?.
Una magari yenye fridge ?.
Vipi cost za transport ?.
mkuu ox-tail ni Tzs 4,500 lakini hatuna product ya T-bone kwa sasa kuna maboresho kadhaa yanafanyika na itakapokuwa tayari tutawataarifu.mkuu
t-bone na oxtail bei gani kwa kilo?