Kwa yaliotokea Jana usiku wa mabingwa haraka Mwakinyo aandaliwe pambano

abdulhamis

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2019
Posts
1,436
Reaction score
2,296
Jana Azam TV na promoter walio dhamin mapambano sikuona kama walitaka kukuza Mchezo wa ngum na kuuendeleza Bali kuuharibu kabisa

Mapambano ya Jana Hasa lile la Mwisho la Mfaume Mfaume kila mtu kuanzia walio kua ndan ya ukumbi nje ya ukumbi mpaka Azam wenyewe walishangaa how Mfaume Mfaume Ameshinda kwa jinsi alivyo pigwa?

Tanzania Roho mbaya tu ndio inatusumbua Baadh ya wadhamin wanataka kulazimisha kila mtu awe Bingwa ili tu waweze kupata mapambano Sawa ni vizur basi tafuten mabingwa wa kweli Sasa kwa uozo kama ule anatoka mbele eti namtaka Mwakinyo Mwakinyo si atamuua?

Pambano ya Jana kidogo unaweza Sema alie stail kuitwa Bingwa ni Dulla Mbabe japo Ana tatizo la kuachia Sana ngum, za sura zimfikie sababu hil ni mbaya mana kama Bondia Ana pumz akikaza mpaka raund ya mwisho basi Dulla mbabe atakua kapigwa kwa point na Ndio mana Twaha kiduku Alimshinda.

Ila naamin Twaha kiduku Akirudia na Dula mbabe Ameisha na kama kwel Anaona yeye ni Bingwa na Anastail kupigana na Mwakinyo basi na Yeye akubali Kurudia pambano kwanza na Dulla mbabe aone kama atatoboa

Mapambano ya Jana Yameshusha hadh na Heshima ya Ngum za Sasa Ambazo Mwakinyo kapambana mpaka kufanya mchezo wa ngum uwe na uwezo wa kuingiza watu Zaid ya maelf kwa usiku mmoja embu mpeni mwakinyo Heshima yake msitake kila mtu awe bingwa ubingwa acha autafute mwenyewe msiwabebe

Pia wachambuz wa Jana na wao walikua mashabiki wa mabondia wa tanzania sijui kama ndio sheria ilivyo ama laa Lakin Jana ilikua kituko na ilionyesha dhahir kua Baadhi ya Mabondia wengi hawampend Mwakinyo kwa kuangalia mwakinyo akiwa anapambana wanavyo chambua mchezo na mabondia wengine wakiwa wanapambana Mara nyingi akiwa mwakinyo Hua wanaponda Aina ya upiganaj wake ila wakiwa Hawa Mabondia uchwara Sasa utasikia Leo anaua mpinzani hafikish raund ya Tatu Mara mpige mbavu ya kulia tumbon ehe ehe shame on you Tanzania

Sasa kama Jana Yale Makelele yote ya mchambuz juu ya mpinzani kushambuliwa na mchambuz jua anakipaza saut plas mashabiki mpinzani unafikir atakua huru kurusha ngum au ndio kumtoa mchezon kisaikolojia?

Azam TV na promoter wengine kama kwel mnataka watu waendelee kuangalia Ngum tanzania Bado mwakinyo ananafas ya kufanya ivyo ila mkitaka mlazimishe Hawa Mabondia VITAMBI wenu mlio wapa ubingwa kwa kupigana wao kwa wao zitarud zama za kina cheka promota tbc na eatv kiingilio Buku na bado watu Mia hawafiki

Azam na promoter mnatakiwa mjisafishe juu ya aibu ya Jana either kwa kuwafukuza wale majaj au kuwasimamisha

Pia mpeni mwakinyo pambano aje haraka kulinda Iman na heshima ya ngum ilio kua tayar ipo kabla haijapotea najua anataka hela nyingi ila mkumbuke yeye ndie star wa mchezo
 
Point yangu ni lawama

Lawama umezichanganya changanya mpaka hazieleweki:-

1. Majaji kutokuwa fair kwa kumpa ushindi aliyeshinda
2. Wachambuzi kutokuwa fair akiwa Mwakinyo anacheza
3. Umezungumzia kuwafukuza marefa au kuwasimamisha, sijaona kosa la marefa, labda ulitaka kuwasema majaji
4. Mabondia hawampendi Mwakinyo

Etc
 
Mimi naangalia pambano la Mwakinyo tu.
Hao wengine kama mechi za mchangani za soka.
 
Kwa hiyo hata ile KO ya Tony nayo ni famba?

Acha masikhara Bwana!
Hata kwenye shoo watu Hua wanamuangalia mwenye shoo yake watanguliz Mara nyingi Hua hawahusiki kwenye pongez wala lawama
 
Mwakinyo huyuhuyu aliyebebwa dhidi ya "Tenempai"?
 
Karibu Duniani kote,mwenyeji akimaliza round zote,mgeni huna chako. Hata Mayweather kwa Pacquiao lililofanyika Marekani watu walilalamika Mayweather amepigwa.

Halafu Azam ndio wameipa promo Ngumi kwa kuzionesha hatua kwa hatua tokea wakiwa mazoezini mpaka kwao mpaka Siku ya pambano. Hata Mpira wa bongo wameuongezea thamani kwa kuuonesha. Mwakinyo ni factor ndogo sana
 
Mwakinyo kashalijua hilo watanzania wanafiki wanapambana wa mshushe yupo zake tanga anakula dagaa na uono wa kuchemsha alishasema hawezi kaa dar kwa majungu kama hayo.
 
Sasa imekuwaje umetuambia aliyestahili ubingwa jana ni Dula Mbabe pekee badala ya kujikita na mwenye shoo Mfaume Mfaume.

Au wenye shoo jana walikuwa Dula na Mfaume?
Walio kua wanatangazwa mabingwa na ambao ulikua ni usiku wao ni dula mfaume na twaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…