Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Ulitahadharishwa kutokea mapema juu ya uchaguzi huu wa serikali za mitaa na kasoro zake tokea uandikishaji kama waziri mwenye dhamana ukadharau.
Ukashauriwa hiki na kile pia ukapuuza hadi uchaguzi kwa kiwango cha kutisha umeharibika na watu kadhaa wameripotiwa kuuwawa.
Ni upole tuu wa vyama vya upinzani na Watanzania na tabia yao ya "Kumwachia" Mungu kila jambo ndio yameponya taifa hili na kulipuka kwa ghasia. Je, huoni ulitaka kuipeleka nchi yetu pendwa kusikofaa?
Unastahili kabisa kushtakiwa kwa uhaini sasa, lakini kwa vile hayo uliyofanya yalikuwa kwa dhamira ya kukisaidia chama chako haiwezi kutokea leo, ila jinai Haiti kesho na kesho kutwa yaweza kufufuka na hakuna atakaye jua au kujali uhusiano wako na ex-president.
Ila una nafasi moja tuu ya kuzuia hilo kwa sasa, waombe radhi Watanzania kwa kuwaharibia mfumo wao wa kupata viongozi katika ngazi inayowagusa directly na wanaweza nalo hilo "Wakamuachia Mungu".