Baada ya maji kufika shingoni wanaona bora kupitia upande huo ili wafikie wanapopataka 😁!.Tangu lini Chaggadomo mkawa wafuasi wa Nyerere ?
Endelea kurukaruka ukitulia rejea jamvini.Tangu lini Chaggadomo mkawa wafuasi wa Nyerere ?
Endelea kurukaruka ukitulia rejea jamvini.
Baada ya maji kufika shingoni wanaona bora kupitia upande huo ili wafikie wanapopataka 😁!.
Although hii nchi ni nyepesi sana tatizo ni raia wake ndiyo wagumu kupindukia (waoga)
Hata yangelikuwepo bado mngemtukana tu, kwani Mara ngapi hayupo na bado Lisu anamsema kwa mabaya! Pia hata kama angekuwepo Leo hii asingekubali haya mambo yanayo endelea Sasa hivi,
Nchi gani ambayo watu hao hawatii mamlaka ya nchi.
Kazi ipo.
Hata wenzako huwa wanajipa moyo as you wrote, so haishangazi kujitutumua kwa hilo although huwa hamuwezi kuandika yaliyo fail hata kwa sekunde moja!.Maji gani ya shingo hapo sasa? Kwani tulipo hata kama mngekuwa nyie ni watoto wa kunyonya, tuseme ndiyo ungekuwa tayari ziwa mngeachia?
Chakula kuwiva ni shuruti kutokota vilivyo kwanza!
Kwamba mtakomaa mbona tuliyajua zamani sana? Pia tunajua mtajitahidi kukomaa hata zaidi?
Huu uzi ni wa June 20:
Tathmini: Kesho bora ya Tanzania inategemea uwepo wa Katiba Mpya
Mabibi na mabwana ni ukweli usiopingika kuwa kesho yetu iliyo bora zaidi inategemea sana uwepo wa katiba mpya. Kwa hali tuliyofikia kunahitajika zaidi mustakabala mpya wa utangamano. Ni wazi kuwa hayupo mmoja ambaye kwa dhati yake asiyekwazika kabisa kwa lolote na katiba iliyopo labda tu, kwa...www.jamiiforums.com
Ninakazia:
View attachment 1863029
Tuko imara leo kuliko wakati wowote katika historia.
Peleka habari hiyo kama mlikuwa hamjui.
Cc: BAK Erythrocyte Salary Slip technically
Hata wenzako huwa wanajipa moyo as you wrote, so haishangazi kujitutumua kwa hilo although huwa hamuwezi kuandika yaliyo fail hata kwa sekunde moja!.
Nenda kwenu Burundi wewe Ndigilimana Ndailagije.Tanzania ni yetu sote
Unaandikaga upuuzi puuzi tu.Nenda kwenu Burundi wewe Ndigilimana Ndailagije.
Hiyo ndiyo akili ya ki-uvccmUnaandikaga upuuzi puuzi tu.
NB: Hata makaburu walisema hivyo hivyo kwamba wananchi wa Afrika Kusini lazima watii mamlaka ya nchi, wakoloni vile vile walitumia lugha kama hiyo na hata Hitler, Idi Amin wote amri yao ilikuwa ni hiyo hiyo.Hata yangelikuwepo bado mngemtukana tu, kwani Mara ngapi hayupo na bado Lisu anamsema kwa mabaya! Pia hata kama angekuwepo Leo hii asingekubali haya mambo yanayo endelea Sasa hivi,
Nchi gani ambayo watu hao hawatii mamlaka ya nchi.