Kwa yanayoendelea AFCON nchini Cameroon, Waafrika tuna laana gani?

Kwa yanayoendelea AFCON nchini Cameroon, Waafrika tuna laana gani?

kasenene

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2008
Posts
1,632
Reaction score
2,413
  1. Utaratibu mzima wa uandaaji wa mashindano ni hovyo (muingiliano wa ratiba na ligi kubwa duniani, mpangilio wa taratibu za msingi, usalama wa watazamaji n.k)
  2. Ubora duni wa waamuzi
  3. Pira bovu linaloonyweshwa na timu zetu (achana na ngozi nyeupe i.e waarabu) tena wachezaji zaidi ya 90% wanacheza ligi bora za ulaya!
  4. N.k.....n.k
Ama kweli aliyeturoga "alishafwariki"😵🙄
 
Back
Top Bottom