Kwa yanayoendelea Chadema naanza kuamini wale Wabunge 19 wana baraka za Mbowe na chama kwa ujumla

Kwa yanayoendelea Chadema naanza kuamini wale Wabunge 19 wana baraka za Mbowe na chama kwa ujumla

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,479
Reaction score
3,788
Wamehitahidi sana kutuzuga na kumlaumu Ndugai kuwabeba na kuwakumbatia Wabunge wanawake 19 kutoka Chadema almaarufu Covid 19.

Muda ni mwalimu mzuri, Mbowe ni mnafki sana, alishalamba asali, akija kwetu wananchi anajifanya hajui lolote kumbe nyuma ya pazia alishalamba asali.

Kwaa yanayoendelea Chadema ni kama wameanza kujianika namna wanavyoshirikiana na ccm kimyakimya ila wakija hadharani wanajifanya wanapinga kila kitu.

Mbowe mpishe Lissu its now or
 
Umeona mbali sana. Inavyoonekana viongozi wakuu chamani wanalijua hilo, na huenda kabisa wapo ambao hawakuliafiki. Ila kwa vile mwenyekiti aliamua, basi ikawa hivyo.

Ukitaka kuelewa vizuri, msikilize TAL anavyowazungumzia hao wabunge 19. Ni tofauti kabisa na mtazamo wa mwenyekiti.

Halafu huenda kabisa kuna ahadi ya mgao mwingine wa ubunge mwakani, kwa mujibu wa yale maridhiano.
 
Nilisha sema CDM ni kama hamnazo nā nikasema mda ukifika ataumbuka,Mbowe ni mtu wa dili 1,000,000,000%, kama kuna pesa jamaa huwa hafati utu, mtazamo wa chama nā hata wanachama wanataka nini.
Wale wabunge 19 walikuwa nā Baraka zake hilo muelewe makubaliano yalikuwa % flani ya mapato yatokanayo nā ubunge wao yaende kwa chama nā % zingine kwenye akaunti binafsi.
Mabinti nā akina mama wakakubali ila walivokanyaga mjengoni,wakaigomea % ya mfuko wa Mkubwa,ndipo jamaa akawawakia kukiuka mkataba wa mkubwa.

MBOWE HANA UBAVU KWA UVIKO 19,ndo mana anapambana nā Lissu asiwe mwenyekiti maana akiwa mwenyekiti wale 19uvicoʻs hawana chao
Kama MBOWE Anabisha aje akanushe hili nā nitakuja nā jingine.
 
1735934997305.png

Covid-19. doa lililokataa kusafishika hata kwa JIK, kiboko ya madoa!
 
Back
Top Bottom