Jamaa Fulani Mjuaji
Senior Member
- Jul 25, 2020
- 155
- 278
huyo akili kisoda hajajiuzulu, alifukuzwa ila kwa kumuondolea aibu kaambiwa aandike barua ya kujiuzuluNi kweli CCM Hali sio nzuri sana mpaka Kinana anaomba kustaafu sio Jambo dogo.
Kuhusu Msigwa, niseme kasahulika mapema Sana. Mpaka ifike 2025 CCM watamchoka na kumuweka pembeni.
Automatically Msigwa Imekula kwake amesukuma Kete Mbaya aliyemuahidi uwaziri huenda kajiuzuluNi kweli CCM Hali sio nzuri sana mpaka Kinana anaomba kustaafu sio Jambo dogo.
Kuhusu Msigwa, niseme kasahulika mapema Sana. Mpaka ifike 2025 CCM watamchoka na kumuweka pembeni.
Kuna kundi naona linajimegua PolepoleWatameguka na Kufungua Chama Kipya cha Siasa.
Siyo Assets TenaAmekuwa liability
Kwa Mbungi linaloendelea ndani ya CCM sijui kama hakutakua na kumalizana Juu kwa Juu inaonekana huku ambako ni makazi mapya ya Bwana Musigwa kunawaka moto kuliko Kule alikotoka bwana musigwa na hali ya kugawanyika ni kubwa mno na kwa kuangalia Upepo wao hawa jamaa wa kijani wanaweza hata kuanza kumalizana wao kwa wao kitu ambacho ni kibaya zaidi
Huu ni Mtazamo wangu wa Mambo
HAAA! Wameguke wanzishe chama kipya cha Majangili na Mafisadi yaliyokubuhu!Watameguka na Kufungua Chama Kipya cha Siasa.
Ndiyo alipayuka kwamba anataka kuzunguka nchi nzima kuisimanga CHADEMA. What a freak!Siyo Assets Tena
Mbona kinana sio mtu wa kufukuzwa bhaana Yule ni mtu mzito wa kuangukiwa kabisa ndani ya Chamahuyo akili kisoda hajajiuzulu, alifukuzwa ila kwa kumuondolea aibu kaambiwa aandike barua ya kujiuzulu
AMENLet the will of god be done. heavenly father we ask for your mercy, relief and breakthrough be it economic, political, social and technological.