Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Mpaka sasa Marekani wameshaonya zaidi ya mara moja ila wahusika wametia pamba masikioni na kuendeleza matendo yao ya unyanyasaji na ukiukaji wa haki za binadamu hasa kwa wanasiasa wa upinzani.
Kwa sababu hiyo,msishangae wakati wowote kuanzia sasa serikali ya Marekani ikatangaza hatua kadhaa dhidi ya viongozi wa nchi hii wanaotuhumiwa kuhusika na ukandamizaji huu unaoendelea.
Hatua hizo zinaweza kuwa ni pamoja na kuweka zuio la viongozi hao kwenda Marekani,kusitisha misaada ya fedha,kuzui mali za viongozi hao zilizoko Marekani(kama wapo wenye mali hizo),n.k'.
Kwa msisitizo tu,hili la kuwekea vikwazo linakwenda kutokea mapema tu kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu iwapo hali hii itaendelea bila kukoma.
Hata hivyo,ili chama fulani kianguke,ni lazima ukandamizaji na unyanyasaji huu ushike kasi na ndipo hatua kama hizo zinaweza chukuliwa na mataifa makubwa na pia kuufanya umma ukichukie chama hicho na viongozi wake.
Vile vile inawezekana Mungu karuhusu haya yatokee(Mungu ana makusudi yake) ili anguko la hawa watu litimie wakati wowote kuanzia sasa.
Anguko la hawa jamaa ni process(mchakato),process ambayo imeshaanza huku wao wenyewe kwa matendo yao, bila kujijua, waki-provide catalyst ku-speed up anguko lao.
Time will tell.