Kwa Yanga hii itafika mbali

Kwa Yanga hii itafika mbali

hometown

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
939
Reaction score
1,311
Klabu ya Yanga SC si kwamba imefuzu tu nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika, bali imeongoza katika vitu vingi kwenye michuano ya CAFCC mwaka huu.

Yanga SC ambayo imetinga nusu fainali baada ya kuiondoa Rivers United, imeandika rekodi ya aina yake katika michuano hiyo mpaka sasa.

Yanga SC imekuwa timu ya kwanza Tanzania kutinga hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika tangu lianzishwe mwaka 2004.

Timu zenye clean sheets nyingi mpaka sasa. 05 – Young Africans 05 – ASEC Mimosas 04 – US Monastir

Michezo (5) ya mwisho (CAF) Yanga 2 – 0 Bamako Yanga 2 – 0 US Monastir Yanga 1 – 0 TP Mazembe – (A) Yanga 2 – 0 Rivers – (A) Yanga 0 – 0 Rivers

Timu zilizofanya vizuri zaidi kwenye mechi (5) za mwisho CAFCC.

1. Ushindi 4, sare 1, kupoteza 0, tofauti ya mabao +7, alama 13 – Yanga Sc 2. Ushindi 4, sare 1, kupoteza 0, tofauti ya mabao +6, alama 13 – ASEC Mimosas 3. Ushindi 3, sare 1, kupoteza 1, tofauti ya mabao +9, alama 10 – USM Alger

Magolikipa wenye cleansheets nyingi! 05 – Ayayi Charles 04 – Djigui Diarra

Vinara wa magoli! [emoji460] 05 – Fiston Mayele [emoji460] 05 – Chivaviro
 
Watafika nusu fainali tu, ndiyo mwisho wao.
 
Haha ebu imagine club bigwa Africa ni younger African sport club...

Ilo vibe lake.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji39][emoji39][emoji7][emoji7][emoji7]
Tunakwenda kuitambulisha [emoji1241] ktk soka la ushindi sio robo robo tena
 
Malizia kwa kuitaja simba ili uwe na amani.
We Makolo nyamaza, endelea kutoa sare na Namungo huko
IMG_20230318_040124.jpg
 
Back
Top Bottom