Kwa Yanga hii Simba tunakula 5 tena, mechi nitaisikilizia redioni

Nyamesocho

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2023
Posts
487
Reaction score
1,287
Nikiwa shabiki kindakindaki wa Simba, kwa mpira wa Yanga waliocheza Jana na Belouzedad na nikiangalia Simba wanavyocheza nadiriki kusema kuwa tano zingine zinatuhusu

Simba na Belouzedad hamna tofauti hawana kasi wanapokuwa na mpira

Natangaza kutoenda uwanjani wala mabadani, nitaisikilizia redio nikiwa chumbani
 
Sawa, haya nenda sebleni ukagombee rimoti na mtoto wa dada yako
 
Nikiwa shabiki kindakindaki wa Simba, kwa mpira wa Yanga waliocheza Jana na Belouzedad na nikiangalia Simba wanavyocheza nadiriki kusema kuwa tano zingine zinatuhusu

Simba na Belouzedad hamna tofauti hawana kasi wanapokuwa na mpira

Natangaza kutoenda uwanjani wala mabadani, nitaisikilizia redio nikiwa chumbani
Hali ni mbaya sana mkuu.
Leo hii mashabiki wa Simba tunaishi kama digidigi!!!!
 
Simba wameshaanza kuingia kwenye mfumo; mabango yatafuatia.
 
Back
Top Bottom