Nyamesocho
JF-Expert Member
- May 5, 2023
- 487
- 1,287
Sawa, haya nenda sebleni ukagombee rimoti na mtoto wa dada yakoNikiwa shabiki kindakindaki wa Simba, kwa mpira wa Yanga waliocheza Jana na Belouzedad na nikiangalia Simba wanavyocheza nadiriki kusema kuwa tano zingine zinatuhusu
Simba na Belouzedad hamna tofauti hawana kasi wanapokuwa na mpira
Natangaza kutoenda uwanjani wala mabadani, nitaisikilizia redio nikiwa chumbani
Hali ni mbaya sana mkuu.Nikiwa shabiki kindakindaki wa Simba, kwa mpira wa Yanga waliocheza Jana na Belouzedad na nikiangalia Simba wanavyocheza nadiriki kusema kuwa tano zingine zinatuhusu
Simba na Belouzedad hamna tofauti hawana kasi wanapokuwa na mpira
Natangaza kutoenda uwanjani wala mabadani, nitaisikilizia redio nikiwa chumbani
Karibuni sana tarehe 20 April 2024Hali ni mbaya sana mkuu.
Leo hii mashabiki wa Simba tunaishi kama digidigi!!!!