Ungeandika madhaifu ya Yanga ya msimu huu ni yapi. Sasa umeandika kimahaba badala kutoa sababu za kiufundi (kimbinu) zitakazosababisha Yanga akose ubingwaMi si shabiki wa timu yoyote ile ila kwenye ukweli basi fitna tuweke pembeni, nimeicheki Yanga jana, pia nimecheki game zao za Pre-season, Pia nimecheki kikosi chao kila idara..
Naombeni niwe mkweli kwa kikosi hicho ubingwa mwaka huu wausahau - wanahitaji kujipanga zaidi.
ni hayo tu ndugu zangu !!
Mi si shabiki wa timu yoyote ile ila kwenye ukweli basi fitna tuweke pembeni, nimeicheki Yanga jana, pia nimecheki game zao za Pre-season, Pia nimecheki kikosi chao kila idara..
Naombeni niwe mkweli kwa kikosi hicho ubingwa mwaka huu wausahau - wanahitaji kujipanga zaidi.
ni hayo tu ndugu zangu !!
Kwa ni na msimu huu visingizio kwa Bingwa wa Kihistoria vitakuwepo?Kwani na msimu huu viporo kwa Bingwa Mwandaliwa vitakuwapo?
hao mabwana nashindwaga kuwaelewa.. timu yao ikifanya vizuri wanajiita Dar young Africa. timu yao ikiboronga wanajiita timu ya wananchi. timu yao ikikosa ubingwa wanajiita mabingwa wa kihistoria. kwa visingizio hao mabwana hawawezekaniKwa ni na msimu huu visingizio kwa Bingwa wa Kihistoria vitakuwepo?
Mkuu unataarifa Gabachori kaanza kutembeza bakuli?hao mabwana nashindwaga kuwaelewa.. timu yao ikifanya vizuri wanajiita Dar young Africa. timu yao ikiboronga wanajiita timu ya wananchi. timu yao ikikosa ubingwa wanajiita mabingwa wa kihistoria. kwa visingizio hao mabwana hawawezekani
Huyo wa kitambi tutajua namna ya kudili naye, tatizo linakuja kwa huyuYanga pokeeni ukweli. Kocha jana alikiri foward wenu Sidney ameota kitambi
Wana Yanga wote. sisi ni dugu moja..kwenye madhaifu tusemage..tusifiche magonjwa.Nani ndugu zako kwa mfano
Huu ndio uanamichezo sio mihemuko. Big up Mkuu!1. Inakuwa ngumu kutoa mtazamo kwa mechi moja tena friend match tu.
2. Yanga wanahitaji muunganiko tu kwa kuwa 80% ya timu yao ni wachezaji wapya klabuni hawajakaa pamoja muda mrefu na kocha mkuu... ila kwa mmoja mmoja wako vzr.
Ishu ya ubingwa tuache kwanza ligi ianze ndio tutaona zaidi... Kwa sasa YANGA wajipange kwa game ya TOWNSHIP kwanza.