Thread hii haifutiki, tupo --- wacha tuone.....tusikimbiane tu.Huu ndio uanamichezo sio mihemuko. Big up Mkuu!
Mkuu heshima kwako,mie najua wewe n Simba haswa but kwa huu uchambuzi wako,ninakiri kusema kwamba upo vizur mkuu,yaan huna unaz kwenye ukweli unasema na penye mapungufu unasema,mie napenda sana vitu vya namna hii asee,thus y mie huwa nasema hivi kuna ushabiki na kuujua mpira.1. Inakuwa ngumu kutoa mtazamo kwa mechi moja tena friend match tu.
2. Yanga wanahitaji muunganiko tu kwa kuwa 80% ya timu yao ni wachezaji wapya klabuni hawajakaa pamoja muda mrefu na kocha mkuu... ila kwa mmoja mmoja wako vzr.
Ishu ya ubingwa tuache kwanza ligi ianze ndio tutaona zaidi... Kwa sasa YANGA wajipange kwa game ya TOWNSHIP kwanza.
Umesoma post kweli! Post sentence 3, comment pg nzima afu OP!Kanywe maji ...ama kimpumu ...iache yanga ..ahujui mpira na hujui ilisemalo njoo na takwimu hapa tunaongelea mambo yenye tija na kutusongesha mbele….
1.Timu iko vizuri mnoooo
2.Angalia wachezaji walio National team
3.Uongozi bora wenye mwelekeo safi na mambo mapya kila uchao
4.Tazama kamati za ukweli na vitu wanavyofanya
5.Inftar SERENA WAKATI WA MFUNGO
6.KUBWA KULIKO MH WAZIRI MKUU MGENI RASMI DIAMOND JUBILEE
7.Jana KILELE WIKI YA MWANANCHI NA WIKI NZIMA TANZANIA NZIMA BARA NA VISIWANI HUDUMA KWA JAMII
a] kukarabati hospitali
b]huduma kwa wahitaji
c]usafi kote mahospitali,beach nk
d]kutoa damu nk
MWISHO GAME NA KARIOBANGI SHARKS DARW NA NI FRIENDLY GAME TAZAMA ZANZIBAR JUMATANO ZBC 2 UONE MAMBO NA JUMAMOSI USIKU TUKUTANE TAIFA...….NA TOWNSHIP ROLLERS …..
Mkuu ukiona tunajadajili kishabiki jua tumeamua tu ila muda ndio unatuumbuaMkuu heshima kwako,mie najua wewe n Simba haswa but kwa huu uchambuzi wako,ninakiri kusema kwamba upo vizur mkuu,yaan huna unaz kwenye ukweli unasema na penye mapungufu unasema,mie napenda sana vitu vya namna hii asee,thus y mie huwa nasema hivi kuna ushabiki na kuujua mpira.
Wanajiona Simba[emoji23][emoji23][emoji23]Mi si shabiki wa timu yoyote ile ila kwenye ukweli basi fitna tuweke pembeni, nimeicheki Yanga jana, pia nimecheki game zao za Pre-season, Pia nimecheki kikosi chao kila idara..
Naombeni niwe mkweli kwa kikosi hicho ubingwa mwaka huu wausahau - wajitahiji kujipanga zaidi misimu ijayo huu hapana, nakataa.
ni hayo tu ndugu zangu !!
Mshana JrWanajiona Simba[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1175146