Wilson Gamba
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 808
- 878
Habari? Nimechaguliwa Bachelor of Arts with Education, ninaomba aliyetayari kwa ajili ya kushirikiana kutafuta sehemu ya kupanga anijulishe tuanze mchakato mapema.
Awe mtu mwenye hofu na Mungu na anayejithamini, mimi niko Nyegina Mission, Musoma. Aliyetayari anitafute kwa 0762364740 au 0789443404, au tumia wilsongamba825@yahoo.com.ASANTENI