Kwa yeyote aliyechaguliwa stella maris university 2013/14

Wilson Gamba

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2013
Posts
808
Reaction score
878
Niko musoma natafuta mtu wa kushirikiana nae kupata chumba cha kupanga,nakuja stella maris mwaka huu,aliyetayari anitafute 0762364740 na 0789443404
 
Dogo acha wenge... nenda huko mtu wa kushitikiana nae utampata huko by the chuo kna hostel nzuri na za kisasa eneo la Shangani.
 
Mmeenda sehemu nzuri sana mtakutana na principal muelewa na mpenda wanafunzi Rev. Dr Rutagwelera
 
Dogo acha wenge... nenda huko mtu wa kushitikiana nae utampata huko by the chuo kna hostel nzuri na za kisasa eneo la Shangani.
nitake radhi mimi siyo dogo ni mtu mzima na sikulazimisha mtu yoyote,na ninauelewa mzuri na hostel zao. Jaribu kuwa mtashi unapotoa maoni yako,apo ni sehemu ya watu wastalabu
 
Daah jamani tanzania kuna vyuo balaaa,kiko wapi hiki chuo????kuna baadh ya sekondar zinajulikana zaid ya vyuo
 
nitake radhi mimi siyo dogo ni mtu mzima na sikulazimisha mtu yoyote,na ninauelewa mzuri na hostel zao. Jaribu kuwa mtashi unapotoa maoni yako,apo ni sehemu ya watu wastalabu

Sorry but ushauri wangu...
Ni kwamba nenda huko chuoni mtwara then utakutana na mtu mtakaendana nae huko huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…