kwa yeyote aliyesoma bcom-udom,msaada wa mawazo tafadhali.

kwa yeyote aliyesoma bcom-udom,msaada wa mawazo tafadhali.

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
eti bcom ya udom ni nzuri kweli,ukiilinganisha na ile ya udsm?walimu wa kutosha wapo kweli,na mtu ukigraduate kuna uwezekano wa kupata ajira?ni hayo tu
 
We kama unataka kusoma bcom nenda kasome 2.
 
eti bcom ya udom ni nzuri kweli,ukiilinganisha na ile ya udsm?walimu wa kutosha wapo kweli,na mtu ukigraduate kuna uwezekano wa kupata ajira?ni hayo tu

nenda shule kasome..ungejua kuwa walimu wengi wa UDOM wametoka/wanatoka UDSM usingeuliza hayo. npia suala la ajira haliendani na chuo ulichosoma
 
walimu wengi pale udom wanatoka mzumbe,and kaka ucwaze kuajiriwa tu waza kujiajiri na ujue kwamba hii ni information age na slogan yake kusoma kujiajiri na age iliyopita ilikuwa ni industrial age(kusoma kuajiriwa)
 
Back
Top Bottom