Kwa yeyote ambaye anahitaji kuwekeza kwa mkataba na kwa makubaliano kwenye stationery karibu sana

Creah

Member
Joined
Apr 6, 2018
Posts
79
Reaction score
82
Habari wana Jf natumaini kama kichwa kinavyojieleza kwa wewe ulie maeneo ya moshi na unahitaji kutengeneza hera hapo ulipo bila jasho basi changamkia mchongo huu.

Mimi ni mfanyabiashara mdogomdogo najishughulisha na biashara tofautitofauti pia nina eneo la kufanyia biashara yoyote ile na mimi nimeweka stationary hapo but mtaji haujitoshelezi kupanua biashara kwa kununua machine mpya na za kisasa.

Hivyo kwa yeyote ambaye anahitaji kuwekeza kwa mkataba na kwa makubaliano maalumu naomba tuwasiliane nitampa asilimia nyingi tu na naimani atafurahi kufanya kazi na mm.

Mawasiliano
0753370786
0659103997
 
hizo Hera zimekushinda kutengenezaaa...ndio utaweza kuwapa wengine fursa.?

au unatafuta wa kumuuzia jumba bovu ili uendeleze bize zako tofauti tofauti
 
hizo Hera zimekushinda kutengenezaaa...ndio utaweza kuwapa wengine fursa.?

au unatafuta wa kumuuzia jumba bovu ili uendeleze bize zako tofauti tofauti
Hapana mkuu ndio maana nimesema tunaingia mkataba na kama kashajiridhisha sio kwamba mm namlazimisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…