daaaah!!hayo unayoyasema ni kweli au mkwara tu?
mkuu ingia An Online Guide To Dream Interpretation
tafsiri bwerere za ndoto ziko hapo.
Kuota uko na ex wako maana yake utarudi nyuma kimaendeleo, angalia sana assets zako.
Kuota uko porini maana yake utapotea, angalia sana mienendo yako.
Simba ni alama ya vita na nguvu, angalia sana kuna kishindo cha nguvu cha upinzani kitakufuata.
Hata hivyo, haya matatizo yatakayokuja yatakuwa ni "blessing in disguise" kwani yatakutoa katika matatizo yako mengine ya kurudi nyuma kimaendeleo.
Matatizo yako ya kurudi nyuma kimaendeleo yatashindwa nguvu na hii nguvu mpya itakayojitokeza.
Matatizo yako yatakushawishi lakini hutaweza hata kuyarudia tena.
Ukija kupita experience hii naomba urudi hapa kueleza usahihi wa tafsiri yangu.
hii iliasiriaa kupata aibu kubwaaa mtaani,yani ukashushaa heshima yako hakunaa jambo lililotokea tuweke waziDu!Bonge la tafsri.Halafu hizi ndoto wakati mwingine zinakera sana.Nakumbuka siku moja niliota niko uchi mtaani.Nilipozinduka usingizini kwanza nilishukuru kwamba kumbe ni ndoto tu,lakini pia nilikasirika sana!
hii iliasiriaa kupata aibu kubwaaa mtaani,yani ukashushaa heshima yako hakunaa jambo lililotokea tuweke wazi
Maana ya ndoto yako; utakuwa chizi!
Yakitimia rudi humu utoe ushuhuda lol
But seriously nenda kaombewe!
Kweli maisha yanatofaytiana, hivi na hali hii ngumu aliyotusababishia kikwete bado mnalala mpk mnaota! Mi nikilala tu kesho yake sili
daaaah!!hayo unayoyasema ni kweli au mkwara tu?
Inawezekana huyo simba ni bodi ya mkopo. Huyo ex mnasoma wote?
Kiranga nenda kaombe kazi ya 'ULINZI' mbadala wa ikulu....