Down To Earth JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 21,940 Reaction score 16,643 Nov 15, 2012 #1 Habari wakubwa, naomba kwa yeyote anayefaham wapi masomo ya kifaransa, kichina, kilatin na kihindi kwa hapa dar es salaam, wapi ntapata pa kuyasomea? Tafadhali tuwasiliane kwa 0762972021 au 0653811003 mimi niko mabibo!
Habari wakubwa, naomba kwa yeyote anayefaham wapi masomo ya kifaransa, kichina, kilatin na kihindi kwa hapa dar es salaam, wapi ntapata pa kuyasomea? Tafadhali tuwasiliane kwa 0762972021 au 0653811003 mimi niko mabibo!