kwa yeyote anayetaka kujua kuhusu udsm

Sifa gan zinatumika kuwapangia first year hostel main camps au mabibo?
 
Mi 1st year ila kwetu tgta anaetaka msaada wa malazi anitafute wa mass com ntawapa kipaumbele
 
Nijuzeni kuhusu hiyo admission latter jamani maana mdhamini wangu anaitaka ili anipe mshiko
 
Sifa gan zinatumika kuwapangia first year hostel main camps au mabibo?

hakuna cha sifa wala nini..wanapanga randomly 2..infact hawapang manualy bali ni system ndo inayopanga..so yeyote anaweza aka2pwa mabibo na yeyote anaweza akatupwa cumpus.over
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…