Kwa yeyote mwenye biashara ambayo tayari ina operate na anahitaji kuiuza tukutane hapa

Kwa yeyote mwenye biashara ambayo tayari ina operate na anahitaji kuiuza tukutane hapa

mongoya

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2014
Posts
298
Reaction score
120
Ndugu wana JF

Mimi npo Dar nnahitaji biashara ambayo tayari inaendelea iwe ndogo ama kubwa tutaelewana

Labda kwa nn nahitaji;-

-ntapata experience

-ntajua changamoto zake
 
Kuna salon ya kiume inafanya kazi mwaka wa pili. Ina wateja tayari. Mwenyewe kamaliza chuo anarudi kwao mkoani so anaipiga bei. Ni pm kama uko serious
 
Kuna salon ya kiume inafanya kazi mwaka wa pili. Ina wateja tayari. Mwenyewe kamaliza chuo anarudi kwao mkoani so anaipiga bei. Ni pm kama uko serious

Uko wapi mkuu?
 
Duka langu naliuza alikuepo wife sasa anakwenda kusimamia duka jingine .bei 20ml
 
Back
Top Bottom