kwa yeyotea anayefahamu kuhusu mitihani ya TOEFL UDSM

kwa yeyotea anayefahamu kuhusu mitihani ya TOEFL UDSM

mtamanyali

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2011
Posts
1,161
Reaction score
613
Wadau habari za Asubuhi na poleni na mihangaiko ya maisha ya kila siku,
mwenzenu naombeni msaada kwa yeyote yule anayejua kuhusu mitihani ya TOEFL, nasikia inafanyika UDSM so nataka kujua ada yake bei gani? na pia kuna tetesi kuwa kwa waliosoma UDSM kunapunguzo la ada je wanapunguza kiasi gani?
pi naomba mnisaidie kuhusu namna ambayo naweza kupata materials kwa ajili ya kujiaandaa na test. kwa yeyeote mwenye uwezo wa kunisaidia materials anaweza kunitumia kwa email mtamanyali@gmail.com.
natanguliza shukrani zangu za dhati, Mbarikiwe.
 
Back
Top Bottom