Jr. Gong Mira
JF-Expert Member
- Dec 14, 2017
- 1,281
- 1,300
Habari zenu wana JF .
Katika harakati za maisha nimekutana na wakomoro tunaishi sehem moja sasa ttzo hawajui lugha ya kiswahili wala English hivo sote tunapata tabu ya kuwasiliana.
Hivo kwa yoyote yule hapa mwenye kujua ata kidgo hiyo lugha naomba msaada maana tumekua km mabubu hapa.