Mkuu sorry.
Kutafuta hizo nyaraka za Serikali kwa namna hii ni sawa sawa tu utangaze wazi unatafuta Bunduki, Ngozi ya Simba nk. Nakushauri utafute Ofisi yoyote ya Umma ufike Ofisi ya Utawala utasaidika endapo maelezo yako yatajitosheleza.
Ama laa, utazipata kwa watumishi wasio na maadili wazivujishe kwako kitu ambacho pia kinaweza kuwa kigumu.