MAGO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,278
- 3,023
Kati ya makocha waliowai kuifundisha Yanga huyu Jamaa nimetokea kumuona hafai kabisa kuwa kocha was team kubwa kama Yanga.
Ni kocha ambaye team inafanya vibaya na imekosa mvuto kabisa kwa mashabiki ila kila siku hakosi sababu. Inakuwaje uongozi was Yanga unavumilia mpaka muda hii bila kumfungashia virago!??
HEADING; Kwa nini Zahera bado ni kocha wa Yanga!