Kwa Zena hatoki ntu?

Zena hii ambayo mtakatifu wa Chato alipelekwa au sijaelewa kila kitu hapa.Kama huko basi niwekeeni wimbo Habari njema wa Beatrice Mhone.Asante studio
Your browser is not able to display this video.
 
Zena hii ambayo mtakatifu wa Chato alipelekwa au sijaelewa kila kitu hapa.Kama huko basi niwekeeni wimbo Habari njema wa Beatrice Mhone.Asante studio
Your browser is not able to display this video.
 

Si ungetuonyesha walau na tunguli ulilopigia ramli? Unaweza kulitumia kumaliza kazi kabisa?
 
Kwa wale mtakaoona mashikolo mageni

Kwa Zena- Mzena hospital
Mr tabasamu- former prezidaa wa msoga
Kijumbe- bonge Chivayo
Namba damu ya Mr tabasamu-Riz moko
Ankal πŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸƒπŸΏπŸ€£
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…