Mbali na kuongeza gharama maradufu za kutumia Internet kwa wanaotumia modem, ni wiki moja sasa mtandao huu umeelemewa kabisa, hata kufungua email inashindikana! yaani ni zaidi ya slow. ninachofurahi imenifanya kupata mbadala iliyo bora zaidi. kwaheri airtel
kuna wakati nilijaza droo ya meza vipeperushi vya makampuni ya simu, lengo ilikuwa ni kutafuta penye unafuu. Kumbe ukiona nafuu ujue spidi ni ya konokono!
Nilifikia hatua ya kuamini kuwa internet ni kwa ajili ya kundi la watu wenye nazo!
Asante Paje siku hizi siangalii ukubwa wa file, nafahamu kupakua tu! Spidi ndio kama niko ubalozi wa Marekani! Kwi!kwikwiiiiiiiiii!