johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Unaotaga ndoto za kipumbavu mno. Wait and see......Nakumbuka NCCR Mageuzi walimdharau Lyatonga Mrema Lakini alivyowatenda Chama kimedumaa hadi Leo
CUF nayo ndio wale wale
Sasa ni zamu ya chadema
Nawatakia uchaguzi mwema!
Unajifariji mkuuNakumbuka NCCR Mageuzi walimdharau Lyatonga Mrema Lakini alivyowatenda Chama kimedumaa hadi Leo
CUF nayo ndio wale wale
Sasa ni zamu ya chadema
Nawatakia uchaguzi mwema!
Wasted maniiNakumbuka NCCR Mageuzi walimdharau Lyatonga Mrema Lakini alivyowatenda Chama kimedumaa hadi Leo
CUF nayo ndio wale wale
Sasa ni zamu ya chadema
Nawatakia uchaguzi mwema!
inategemeana na matokeo yatakuaje. Lissu akishinda ngoma inogileNakumbuka NCCR Mageuzi walimdharau Lyatonga Mrema Lakini alivyowatenda Chama kimedumaa hadi Leo
CUF nayo ndio wale wale
Sasa ni zamu ya chadema
Nawatakia uchaguzi mwema!
Vyama vyote duniani vina demokrasia ya kubadilika kwa mwenyekiti Bila kujali kabila lake.Leo ndio CHADEMA day, kenge na fisi maji wote wanafuatilia uchaguzi wa CHADEMA (chama walichosema kimekufa) na kikapata 1% ya uchaguzi Serikali za mitaa. Pumbavu Kabisa CCM na Polisi wake
Eeghh unataka tubishane? Yaani nibadilishe unachoamini! HAPANA nilishavuka hukoVyama vyote duniani vina demokrasia ya kubadilika kwa mwenyekiti Bila kujali kabila lake.
Sasa Chadema unasemaje ni chama wakati mwenyekiti habadiliki na zingatio la ukabila likiweko!
Hiyo ni Saccos ya ma mangi.
Slim chance though. Lissu akishindwa leo kutakua na kazi kubwa sana ya kurudisha tena imani za watu na uchaguzi upo mbali sana kwa joto lilivyo sasa hivi. Ni mtihani mkubwa sana hapo mkuuMind kwamba mbowe akishinda anaweza kubalansi mambo chadema ikaibuka na mgombea urais Lissu chama kikabaki the same bila kusambaratika
Na hakuna mahala nimeweka alama ya mabishano..Eeghh unataka tubishane? Yaani nibadilishe unachoamini! HAPANA nilishavuka huko
Unafikiria kwa kutumia ubongo au makalio?Mind kwamba mbowe akishinda anaweza kubalansi mambo chadema ikaibuka na mgombea urais Lissu chama kikabaki the same bila kusambaratika
Lakini baada ya Mrema NCCR kiliweza kupata wanasiasa nguli kama James Mbatia na Angelina Rutairwa🐼Nakumbuka NCCR Mageuzi walimdharau Lyatonga Mrema Lakini alivyowatenda Chama kimedumaa hadi Leo
CUF nayo ndio wale wale
Sasa ni zamu ya chadema
Nawatakia uchaguzi mwema!
Binafsi bado sitaridhika, mbowe hana mvuto kbs tena wa kisiasa inatakiwa akae pembeni tuweke kikosi kipya chini ya lissu!Mind kwamba mbowe akishinda anaweza kubalansi mambo chadema ikaibuka na mgombea urais Lissu chama kikabaki the same bila kusambaratika
Endapo akishinda Mbowe uzi wako utakuwa kweli na hakika. Ila akishinda Lissu hili litakuwa dua la kuku ambalo halitampata mwewe kamwe!Nakumbuka NCCR Mageuzi walimdharau Lyatonga Mrema Lakini alivyowatenda Chama kimedumaa hadi Leo
CUF nayo ndio wale wale
Sasa ni zamu ya chadema
Nawatakia uchaguzi mwema!
Mwakitwange we mchawi. Jana ulitaka uchaguzi usifanyikie Mlimani city. Mwakitwange mrudie MunguNakumbuka NCCR Mageuzi walimdharau Lyatonga Mrema Lakini alivyowatenda Chama kimedumaa hadi Leo
CUF nayo ndio wale wale
Sasa ni zamu ya chadema
Nawatakia uchaguzi mwema!