Mr Dudumizi JF-Expert Member Joined Sep 9, 2020 Posts 7,799 Reaction score 14,215 Jan 21, 2025 #41 mkuruga said: mwamba tuvishe Click to expand... Awavisheni nini.. nepi?
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 59,045 Reaction score 94,974 Jan 21, 2025 #42 Guin said: 🤣🤣🤣🤣🤣lakini siku hii ni ngumu sana kaka. Habari za huko uliko Click to expand... MUNGU mwema Ndugu yangu
Guin said: 🤣🤣🤣🤣🤣lakini siku hii ni ngumu sana kaka. Habari za huko uliko Click to expand... MUNGU mwema Ndugu yangu
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 18,611 Reaction score 27,615 Jan 21, 2025 #43 Lissu katia timu mlimani city kwa gari lake alilopata changamoto ya kushambuliwa kwa risasi. Wafuasi wake wanamshangilia na kusukuma gari lake kuelekea maegesho
Lissu katia timu mlimani city kwa gari lake alilopata changamoto ya kushambuliwa kwa risasi. Wafuasi wake wanamshangilia na kusukuma gari lake kuelekea maegesho