Kwaheri JF Special thread:Uzi wa wanaojitoa JF kwa sababu mbalimbali

Kwaheri JF Special thread:Uzi wa wanaojitoa JF kwa sababu mbalimbali

Safari njema mkuu,mimi pia nipo nyuma yako! JF mmefuta nyuzi zangu sana nilizokuwa naomba ushauri
 
Mnaaga halafu kutoka hamtoki sijui ndio huwa mnamaanisha nini halaf kutoka lazima muage tokeni tu jaman
 
Nakuona wewe ni mwanafunzi, itakuwa uko kwenye mitihani ya fom foo, ukimaliza mitihani karibu tena
292547.jpg
 
R. I. P msalimie mwalimu Julius Nyerere..... Mwambie ile nchi aloiacha ikiwa nzuri imekabidhiwa kwa watu wasiojulikana
 
Back
Top Bottom