Kwaheri JF Special thread:Uzi wa wanaojitoa JF kwa sababu mbalimbali

Safari njema mkuu,mimi pia nipo nyuma yako! JF mmefuta nyuzi zangu sana nilizokuwa naomba ushauri
 
Mnaaga halafu kutoka hamtoki sijui ndio huwa mnamaanisha nini halaf kutoka lazima muage tokeni tu jaman
 
Deadbody!!!!!
Wasalimie unakohamia
 
R. I. P msalimie mwalimu Julius Nyerere..... Mwambie ile nchi aloiacha ikiwa nzuri imekabidhiwa kwa watu wasiojulikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…