Baada ya ishu za tcu na helsb kupita sasa ni muda wangu wa kuhamia majukwaa mengine kwaherini wadau
Mkirua hawa wanafunzi wangu wananisikitisha sana. Nataman kujua alisoma wapi manake waweza kukuta ni mwanafunzi wangu kabisa si kututia aibu waalim wake jamani. Baba V na snowhite oneni tunavyodhalilika kwa kushindwa kuwapa maarifa hawa vijana.
Shame upon you! yaani wewe kwako elimu ni kupata mkopo basi umemaliza? ama kweli hujaelimika wewe
My dear wala msijilaumu kwani ivi kila kitu lazima ufundishwe na walimu wako?? Kama jibu ndio je ni yote tunayakumbuka na kuyatekeleza?? Mengine haya ni matumizi bora tu ya ubongo kuweza kujua kuwa elimu(jukwaa la elimu) ni pana na lina manufaa zaidi ya jinsi wanavyotaka kulifanya noticeboard ya TCU na HLSB.