Kwaheri Land Cruiser

Minada ya serikali ya JK ilikuwa haijali kupata hasara; ndiyo maana serikali ilikuwa inapoteza hela nyingi sana za umma. Iwapo wao wananunua gari hilo kwa milioni 80 halafu wanaliuza mnadani kwa milioni tatu huoni kuwa huo ndio uwehu wenyewe?
Tumefaidi basi sisi 😂😂😂 tunayo manne
 


Exiting the US market, this aint about us.!🤣🤣
 

Kuna magari mengi tu mazuri ambayo ni mbadala

Shida yetu si unajua watanzania tumeathiriwa na Utoyotalism...[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Defender hizi Land lover?
Aiseeee!!!
Toyota defender mashikolo mageni
Huo ugolo ulokula ndo umekufanya ukimbilie kwenye mashikolo nmeandika post juu hapo nikasema nimechanganya mafile au hujaona mzee baba
 
Watatumia hata Alphard hybrid hko, mana viongoz wetu wanapenda sifa sana
Haya sasa, huko bongo walikuwa wanatutesa sana hasa mawaziri na wabunge, migari inabugia mafuta na kuwaumiza wananchi ambao kodi zao ndio zinachezewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…