Kwaheri Land Cruiser

Mi. Naona magar ya kutumia hizi rav 4 za wabunge na labda hya mafortuner new model
 
Hayo ndo yalikuwa magari, chuma cha pua. Mpaka uende service umelitumia kwelikweli kwa Kazi za field huwezi linganisha na magati mengine. Husinunue land cruiser kwa ajili ya laxuary utaumia
 
Huo ugolo ulokula ndo umekufanya ukimbilie kwenye mashikolo nmeandika post juu hapo nikasema nimechanganya mafile au hujaona mzee baba
Umekosea halafu unakuwa mjuaji sijui umekula maharage ya wapi weye!!
Kwani post inatanguliwa kuonwa ya mwisho kabla ya ya mwanzo?
Ungeedit pale pale kuepusha kutoa harufu ya hizo kunde zako!!!
Otherwise umeeleweka kuwa ulikosea
 
Umekosea halafu unakuwa mjuaji sijui umekula maharage ya wapi weye!!
Kwani post inatanguliwa kuonwa ya mwisho kabla ya ya mwanzo?
Ungeedit pale pale kuepusha kutoa harufu ya hizo kunde zako!!!
Otherwise umeeleweka kuwa ulikosea
Sawa
 
Kuna magari mengi tu mazuri ambayo ni mbadala

Shida yetu si unajua watanzania tumeathiriwa na Utoyotalism...[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Uzuri wa Toyota hasa hizi Land Cruiser ni reliability. Ndio maana zina wateja wengi sio Tz tu hata huko kwa wazungu wanahusudu sana, Nenda Australia utakuta wanatumia Toyota na hata Wamarekani ukiwauliza ni gari gani unaweza kununua used na bado ukaendesha vizuri tu watakwambia go for Toyota
 
land cruiser prado ina uwezo sawa na L200 series, na bado ni economical. Wateja wa L200 watahamia kwenye prado.
 
Used kila mtu atashauri uchague Toyota...the reason behind is availability of counterpart spares....nothing more...
Sasa umasikini wetu hasa nchi nyingi za kiafrika ndiyo tunaonunua used cars kwa wingi ukilinganisha na nchi nyingine..
Wamarekani katika shughuli zao za kila siku za kuijenga nchi yao wanatumia magari ya kama Ford, Chevrolet na Dodge....Nchi kama china brand inayouza zaidi ni Nissan...Wenzetu wakongo Mazda ndiyo kwao....Wenzetu west Africa maVW ndiyo Taxi mtaani...

Marekani hizi Japanese brands zinatumiwa na watu wa kawaida kwa wingi....na nyingi ni Mazda, Nissan na Subaru na Toyota...zaidi Camri ndiyo inauza sana huko....
Haya ma kilimo kwanza nadhani ni viongozi wa kiafrika ndiyo wanayashobokea...lakini kuna magari mengi tu mazuri ambayo ni mbadala..

Kwa hiyo pia brand fulani kutawala taifa fulani inategemea na mtazamo wa watu husika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…