Kwaheri Land Cruiser

Hapo lazima watakuja na kitu mbadala
 
Source....??
 
Wachukue VW Golf speed 240 so hakuna shida.......
Hamna mtu anataka gari korofi, the car has to be fun to drive yet reliable and economical.

Katika hayo matatu wajapani wanafeli kwenye fun to drive tu ila wa ulaya wanawazidi hapo tu. Ulaya unakuta gari ina ultra luxurious interiors,powerful engine ila ikiloga kidogo service 1.5M inakata. Mafuta ya daily ride usikose 80k spare zake kipengele.

Wakati Toyota mpaka iloge ujue umeifuja mda mrefu sana kuipa spare hadi iue mfumo flani. Na hapo imekupiga sana ni 400k.
 
Dah! Sio mbaya kikubwa kampuni ipo sio mbaya coz mbn tupo raia uku tunayausudu cruiser za 93-98 ni mwendo wa kuzipimp tu
 
Wanasema tuu reasonable price but yakiingia sokoni price inakua extreme higher than previous
 
Ukiangalia baadhi ya ajali wanazopata viongozi utaona uzuri wa gari aina ya Landcruiser hasa v8...zina uwezo mkubwa wa kuhimili ajali lakini sio vigezo vya kuyajaza serekalini huku yakibugia kodi zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…