Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Habari za mda huu JF Member,
Nipo hapa kwa ajili ya kuuaga tu mwezi January, mwezi ambao tuliukaribisha mwaka 2019..
Mazuri,mabaya,shida,raha ila kikubwa binafsi nashukuru January umepita salama na maisha bado yanaendelea.
Kesho tunaukaribisha mwezi February au "Mwezi wa mapenzi mubashara" watoto wa mjini wanauitaga.
So also tunaomba uwe ni mwezi wa Amani,faraja na mafanikio
Allah bless us,
UZI TAYARI.