kaka_mkubwa
Member
- Apr 6, 2012
- 40
- 75
Habari wanajukwaa
Kwa wale ambao wamewahi kusoma SUA, Mzumbe na vyuo jirani vya Morogoro sana sana miaka ya kuanzia 2000 na kama umekuwa mfuatiliaji wa mambo ya kiroho basi kwa namna moja ama nyingine unaweza kuwa umewahi kukutana au kumsikia huyu Mchungaji. Alikuwa ana kanisa pale keepleft ya kwenda SUA.
Ni Mchungaji aliyekuwa na hekima ya ajabu na mshauri mzuri sana. Ni mmoja ya wachungaji wachache ambao hawajawahi kuwa na scandal yoyote tangu nimeanza kumsikia. Lakini alikuwa mnyenyekevu sana.
Pole kwa familia yake
Kwaheri Pastor Zephania Ryoba.