[emoji16] pole sanaTuacheni na Simba yetu jamani
Hatakama ni mbovu
Mbona mnateseka?
Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
Sawa naisevu hii comment mkuuSIMBA KAMTOA ZAMALECK BINGWA MTETEZI NYUMBANI KWAO MISRI 2003.
1. Juma kaseja.
2. Said swedi.
3. Ramadhani waso.
4. Victor Costa.
5. Boniface pawasa.
6. Christofer Alex.
7. Yusuph Macho.
8. Suleiman MATOLA.
9. Emanuel Gabliel.
10. Otman Machupa.
11. Ulmboka mwakingwe.
Atakuwa widad????
sawa churaUmeandika kwa hisia sana mbumbumbu fc [emoji41]
Mbona Kama umepanikisawa chura
We kweli kichaa, sio nyinyi mlikuwa mikisifia zile hattrick za Mayele baada ya kuifunga Zalan team ambayo kutoka tu hapo Sudan mpaka Tz imetumia wiki njiani?Sasa unadhani yanga anaweza kuvimba kwa kuifunga zalani Kama nyinyi mnavyovimba juu ya horoya.
Hayashidwi kusema hivyo, haya matutusa.Hivi ikitokea Simba amevuka hatua ya robo fainali mtakua na nini kingine cha kujitetea,, kwamba waarabu wabovu ??[emoji23][emoji23]
Mbona Kama umepaniki
HahaaaKwa kikosi dhaifu kilichojaribu kujitutumua mbele raja Casablanca kilipigwa nje ndani kwa jumla ya magoli sita kwa moja. Kila nikimtazama beki onyango na inonga naona kabisa ni ukuta mbovu ulioezekwa kwa mabua ni ngumu sana kuizuia wydad endapo itapangwa nayo.
Mchezaji Chama aliyemlazimisha Kocha aingie kwenye mfumo wake,
Ndiyo mchezaji huyo huyo anaezurura kwenye mechi za kibabe, ambazo zinabest players kuliko Mtibwa Sugar. Naona kabisa huyu hana uwezo wowote endapo atakutana na beki za Mamelodi.
Kila nikimtazama Sadio Kanoute, Mzamiru na Kibu Denisi nazidi kuishiwa nguvu kabisa naona ipo kazi kubwa sana endapo watakutana kikosi Cha waarabu waliofuturu vizuri, hakika naona aibu Mimi.
Huku Mo Dewji akiwananga Wana simba nakusahau kabisa kuwa alitoa pesa kichele katika usajiri nakusajiri akina kibu, Sawadogo nk. Leo hii kwa michuano mikubwa ya ligi ya mabigwa unadhani utafika nusu?
Hakika Sina Cha kusema ila nawapa mkono wa kwaheri mkajipange tena watani. Msikubali kuletewa manzoki na ahadi za kuifunga yanga badala ya kusajiri wachezaji kwa ajiri ya kimataifa.
Mtani huwezi kufika nusu kwa kuingia kinyumenyume ndani ya uwanja, kuchoma uwanja. Nasema tena kwa heri Simba SC ahsante kwa kushiriki michuano ya kimataifa.
We ndukum kweli wewe angalia Mimi humu nimjoin mwaka gani ndyo uje kuniita kuku mgeniWe kweli kichaa, sio nyinyi mlikuwa mikisifia zile hattrick za Mayele baada ya kuifunga Zalan team ambayo kutoka tu hapo Sudan mpaka Tz imetumia wiki njiani?
Nyuzi kibao zimo humu, ila kwakuwa wewe ni kuku mgeni humu hauwezi kuelewa.
We kolo kweli umejoin 2019 ndiyo unakuja kuniita Mimi mgeni [emoji16]We kweli kichaa, sio nyinyi mlikuwa mikisifia zile hattrick za Mayele baada ya kuifunga Zalan team ambayo kutoka tu hapo Sudan mpaka Tz imetumia wiki njiani?
Nyuzi kibao zimo humu, ila kwakuwa wewe ni kuku mgeni humu hauwezi kuelewa.
Sawa wewe unayejua haya tupe maoni yakoHamjui mpira ila mna ushabiki
na mnapenda kujilinganisha na simba
Wewe ni kuku mgeni bila kujali umejiunga mwaka gani humu, kama sio kuku umeshindwaje kujua kwamba mliwahi kutamba juu ushindi wa Yanga dhidi ya Zalan?We ndukum kweli wewe angalia Mimi humu nimjoin mwaka gani ndyo uje kuniita kuku mgeni
Tujilinganishe na simba kwa kuchoma uwanja, kurudi kinyume nyume au kwa kusajili manzoki[emoji41]Hamjui mpira ila mna ushabiki
na mnapenda kujilinganisha na simba
Bado unazidi kuthibitisha ukuku wako, humu nimo tangu 2011 na nazijua kona nyingi sana, hapa unadeal na second hand account, ila kwakua wewe ni kuku mgeni huwezi kuelewa kuwa inawezekana kuwa ma Acc mbili.We kolo kweli umejoin 2019 ndiyo unakuja kuniita Mimi mgeni [emoji16]
Hata haujawa expert member hapa jfView attachment 2578930
manara alisema wana yanga wenye akili ni wawili tuTujilinganishe na simba kwa kuchoma uwanja, kurudi kinyume nyume au kwa kusajili manzoki[emoji41]
Hata hii ni id ya tatu humu Sasa 2011 si mtoto wa juzi tu hapoBado unazidi kuthibitisha ukuku wako, humu nimo tangu 2011 na nazijua kona nyingi sana, hapa unadeal na second hand account, ila kwakua wewe ni kuku mgeni huwezi kuelewa kuwa inawezekana kuwa ma Acc mbili.
Tumkumbuke na rage alivyosema mashabiki wa simba ni mbumbumbumanara alisema wana yanga wenye akili ni wawili tu
baba yake na
mzee kikwete
wambie hao ndo waje nibonge nao
siyo nyie mashabiki viherehere