Uchaguzi 2020 Kwaheri Upinzani karibu Upinzani

Uchaguzi 2020 Kwaheri Upinzani karibu Upinzani

Natafuta matibabu

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2020
Posts
262
Reaction score
301
WanaCCM wezangu tujipongeze kwa matokeo mazuri tunayoendelea kuyapata katika viti vya Ubunge na Udiwani.

Kikwazo kikubwa kilichotuumiza kwa muda mrefu sasa tumekimaliza rasmi, kilichopo mbele yetu ni kikwazo kikubwa zaidi ya kilichopita.

Upinzani wa kweli upo ndani yetu (CCM). Tunajuana ipasavyo, tunajua mbinu zote nzuri na ovu.

Mapambano sasa ndio yameanza rasmi.
 
Back
Top Bottom